Sunday, July 11, 2010

UKWELI HALISI JUU YA ASILI YA UKRISTO DUNIANI

بسم الله الرحمن الرحيم

Zifuatazo ni takwimu za mwanzo wa Ukristo na mifano yake(Dini zinazofuata Biblia)

Mwanzo wake

1.ROMAN CATHOLIC

Dini hii ya kikristo asili yake ni Italy

Ilianzia baada ya muda kupita kwa wafuasi wa Issa bin Mariamu au Yesu, ilianzishwa wafuasi wa Pauli kwa jina la wakristo na huu ni muda baada ya Paulo kundi lake la mwanzo kusambaratika chini ya utawala wa NERO mfalme wa Roma katika miaka ya 1000’ AD . Asili ya dini hii haikuwapo pengine ila ni katika mji huu wa Roma na ndipo ikapewa jina hili la Roman catholic yaani wakatoliki wa Roma kwa tafsiri sahihi ni wafuasi wa kristo wa Roma.

Roma ni mji mkuu wa Itali uliokuwa ukitukuzwa kwa kuwa makao makuu ya Tawala ya Roma (Roman Empire) tangu enzi utawala uliokuwa wakimabavu nachanzo cha suala la Utumwa na asili ya biashara ya watumwa chini ya watawala Dhalimu kama Nero na wengine.Kwa kuwa asili ya kuitwa wakristo ni Paulo ambaye hakumwona yesu wala hakufuata mafunzo ya wanafunzi wake, ndipo kulizuka mafunzo ya ibada za Paulo ambazo zilijulikana kama Ibada za kikristo mfano Kula Mkate na kunywa Divai kanisani, hizi ndizo ibada mashuhuri za wakristo wa Italia ama Roman catholic(Italian Christian)

Hii ndiyo asili sahihi ya dini hii ambayo baadhi ya wajiitao wafuasi wa YESU hawikubali na wana Ibada tofauti kama tuonavyo katika asili ya Dini nyinginezo. La kushangaza kuna wafuasi wasio wakazi wa Italia wanaofuata mfumo huu wa kujiita Roman Catholic na hata hapa Tanzania Tunao tena Asilimia kubwa takribani zaidi ya 35% ya watanzania ni waroman catholic.

3 comments:

  1. jina kristo halijaanzia kwa Paul bali kwa wanafunzi wake wa kwanza wale 12 soma yohana 4:3-28

    ReplyDelete
  2. We we ni kipofu anayejifanya anaona hujui hats historian ya Yesu kwamba alizaliwa wapi. Huduma yake ilianzia wapi na ilifika Italia lini. Ndo maana unasema mwanzo wa dini hii ni Roma. Ukitaka kujua ukweli halisi nitafute nikufundishe. 0621896452

    ReplyDelete